SOKOINE NATIONAL AGRICULTURAL LIBRARY (SNAL)
Wakulima nchini Tanzania wamehimizwa kutumia Maktaba ya Taifa ya Kilimo ya Sokoine hususani kitengo cha Mkulima kilichopo maktaba ya Chuo kikuu cha Kilimo cha Sokoine.
Mkutubi wetu akiwataarifu wateja kuhusu huduma zinazotolewa na Maktaba ya Taifa ya Kilimo.
Baadhi ya wanafunzi wapya wakielekezwa jinsi ya kuitumia Maktaba.
Wakulima wakisikiliza kwa umakini jinsi ya kupata machapisho ya kilimo kupitia Ghala la machapisho la Mkulima.
SNAL ikishiriki katika maonyesho ya kumbukizi ya Hayati Edward M. Sokoine

Karibu katika kitengo cha Mkulima

Mkulima ni kitengo kinachopatikana ndani ya Maktaba ya Taifa ya Sokoine  ya Kilimo (SNAL) iliyoko Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Morogoro. Makusanyo ya machapisho kwa lugha ya kiswahili yanayopatikana ndani ya kitengo; na machapisho mengine yanapatikana kwa njia ya kielektroniki kupitia ghala la Mkulima.  Bonyeza hapa kutafuta machapisho.

Copyright © 2020 Sokoine National Agricultural Library. All Rights Reserved