Muda wa huduma

Huduma za Mkulima Library zote zinatolewa kwa siku za kazi kuanzia saa 2:30 asubuhi hadi saa 11:00 jioni kwa siku za kazi. Siku za mapumziko na sikukuu huduma zinapatikana kupitia mtandao tu.